ππ― Poshy bee farm - asali tamu, afya bora.
Poshy bee farm ni shamba la nyuki linalojivunia kuzalisha asali halisi na bidhaa asilia za nyuki kwa viwango vya juu. Tunajitahidi kuleta bidhaa safi, zenye virutubisho na zisizo na kemikali moja kwa moja kutoka mzinga hadi mezani kwako.
Lengo letu ni kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa asali na ufugaji wa nyuki, kukuza ajira na kulinda mazingira kupitia ufugaji endelevu wa nyuki.
"Poshy bee farm - kila tone ni zawadi ya asili" ππ―
π +255694074959
πTAILANI, CHANIKA - Dar es Salaam